Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Priests: The sons of Aaron appointed as, by perpetual statute

2 mistari · 86 vipengele

Mistari kuhusu The sons of Aaron appointed as, by perpetual statute

  1. pia uwavike zile tepe za kichwani. Ndipo uwafunge Aroni na wanawe mishipi. Ukuhani ni wao kwa agizo la kudumu. Kwa njia hii utamweka wakfu Aroni na wanawe.

  2. Kisha watie mafuta kama ulivyomtia baba yao, ili nao pia wanitumikie katika kazi ya ukuhani. Kutiwa mafuta kwao kutakuwa kwa ajili ya ukuhani utakaoendelea kwa vizazi vyote vijavyo.”