Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Priests: Made of the lowest of the people by Jeroboam and others

2 mistari · 86 vipengele

Mistari kuhusu Made of the lowest of the people by Jeroboam and others

  1. Ikawa Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akakusanya nyumba yote ya Yuda na kabila la Benyamini, wanaume wapiganaji 180,000, kufanya vita dhidi ya nyumba ya Israeli na kuurudisha tena ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Solomoni.

  2. Walimwabudu Bwana, lakini pia waliteua aina zote za watu wao ili kuwawakilisha kama makuhani katika mahali pa kuabudia miungu kwenye mahali pa juu pa ibada.