Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Priests: Lighting and trimming the lamps of the sanctuary

4 mistari · 86 vipengele

Mistari kuhusu Lighting and trimming the lamps of the sanctuary

  1. “Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa kwa ajili ya mwanga ili zile taa ziwake mfululizo.

  2. Katika Hema la Kukutania, nje ya pazia lililo mbele ya Sanduku la Ushuhuda, Aroni na wanawe watahakikisha kuwa taa hizo zinawaka kuanzia jioni mpaka asubuhi mbele za Bwana. Hili litakuwa agizo la milele miongoni mwa Waisraeli kwa vizazi vyote vijavyo.

  3. Nje ya pazia la Ushuhuda ndani ya Hema la Kukutania, Aroni ataziwasha taa mbele za Bwana kuanzia jioni hadi asubuhi bila kuzima. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo.

  4. Taa zilizo juu ya kinara cha dhahabu safi mbele za Bwana lazima zihudumiwe daima.