Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Nethinim

35 mistari · 8 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Siku hiyo Yoshua akawafanya Wagibeoni wapasua kuni na wachota maji kwa ajili ya jamii na kwa ajili ya madhabahu ya Bwana mahali pale ambapo Bwana angepachagua. Hivyo ndivyo walivyo hadi hivi leo.

  2. Watu wote waliosalia kutoka kwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi (mataifa haya hayakuwa Waisraeli),

  3. yaani, wazao wao waliobakia katika nchi, ambao Waisraeli hawangeweza kuwaangamiza kabisa: hawa Solomoni akawalazimisha kuwa watumwa katika shokoa, kama ilivyo hadi leo.

  4. Basi watu wa kwanza kurudi kukaa kwenye milki zao katika miji yao walikuwa baadhi ya Waisraeli, makuhani, Walawi na watumishi wa Hekalu.

  5. Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,

  6. wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni,

  7. wazao wa Lebana, Hagaba, Akubu,

  8. wazao wa Hagabu, Shalmai, Hanani,

  9. wazao wa Gideli, Gahari, Reaya,

  10. wazao wa Resini, Nekoda, Gazamu,

  11. wazao wa Uza, Pasea, Besai,

  12. wazao wa Asna, Meunimu, Nefusimu,

  13. wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,

  14. wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha,

  15. wazao wa Barkosi, Sisera, Tema,

  16. wazao wa Nesia na Hatifa.

  17. Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392

  18. Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.

  19. Pia ninyi fahamuni kuwa hamna mamlaka ya kuwatoza kodi, ushuru au ada makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, watumishi wa Hekalu au wafanyakazi wengine kwenye nyumba ya Mungu.

  20. Vilevile walileta watumishi wa Hekalu 220, kikundi ambacho Daudi na maafisa walikuwa wamekiweka kusaidia Walawi. Wote walikuwa wameorodheshwa kwa majina.

  21. Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,

  22. wazao wa Kerosi, Sia, Padoni,

  23. wazao wa Lebana, Hagaba, Shalmai,

  24. wazao wa Hanani, Gideli, Gahari,

  25. wazao wa Reaya, Resini, Nekoda,