Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Alliance and Society with the Enemies of God: Judas Iscariot

4 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Judas Iscariot

  1. Kisha mmojawapo wa wale kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alikwenda kwa viongozi wa makuhani

  2. na kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha.

  3. Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Yesu.

  4. (Basi Yuda alinunua shamba kwa zile fedha za uovu alizopata; akiwa huko shambani akaanguka, akapasuka na matumbo yote yakatoka nje.