Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Alliance and Society with the Enemies of God: Saints hate and avoid

5 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Saints hate and avoid

  1. Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki,

  2. ninachukia kusanyiko la watenda mabaya na ninakataa kuketi pamoja na waovu.

  3. Ninawachukia wale wanaongʼangʼania sanamu batili; mimi ninamtumaini Bwana.

  4. Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu.

  5. Nayajua matendo yako, bidii yako na saburi yako. Najua kuwa huwezi kuvumiliana na watu waovu na ya kwamba umewajaribu wale wanaojifanya kuwa mitume na kumbe sio, nawe umewatambua kuwa ni waongo.