Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Alliance and Society with the Enemies of God: David

5 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu David

  1. Moyo wa ukaidi utakuwa mbali nami; nitajitenga na kila ubaya.

  2. Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, huyo nitamnyamazisha; mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi huyo sitamvumilia.

  3. Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, ili waweze kuishi pamoja nami; yeye ambaye moyo wake hauna lawama atanitumikia.

  4. Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu.

  5. Ondokeni kwangu, ninyi mtendao mabaya, ili niweze kushika amri za Mungu wangu!