Mistari ya Biblia kuhusu Alliance and Society with the Enemies of God: Saints should be circumspect when unintentionally thrown into
Mistari kuhusu Saints should be circumspect when unintentionally thrown into
“Tazama, ninawatuma kama kondoo katikati ya mbwa mwitu. Kwa hiyo mwe werevu kama nyoka na wapole kama hua.
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Kuweni na mwenendo mzuri mbele ya watu wasiomjua Mungu, ili kama wanawasingizia kuwa watenda mabaya, wayaone matendo yenu mema nao wamtukuze Mungu siku atakapokuja kwetu.