Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Alliance and Society with the Enemies of God: Blessedness of forsaking

4 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Blessedness of forsaking

  1. Kwa hiyo, msiwaoze binti zenu kwa wana wao wala binti zao kwa wana wenu. Msitafute mkataba wa urafiki nao kwa wakati wowote. Ndipo mtakapofanikiwa na kula mema ya nchi na kuwaachia watoto wenu nchi hiyo kama urithi wao wa milele.’

  2. Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu.

  3. “Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, mkatengwe nao, asema Bwana. Msiguse kitu chochote kilicho najisi, nami nitawakaribisha.”

  4. “Mimi nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa wanangu na binti zangu, asema Bwana Mwenyezi.”