Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Unbelief: Disciples

3 mistari · 61 vipengele

Mistari kuhusu Disciples

  1. Yesu akajibu, “Enyi kizazi kisichoamini na kilichopotoka! Nitakaa nanyi mpaka lini? Nitawavumilia mpaka lini? Mleteni mvulana hapa kwangu.”

  2. Lakini hawakuwasadiki hao wanawake, kwa sababu maneno yao yalionekana kama upuzi.

  3. Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii!