Mistari ya Biblia kuhusu Unbelief: Judicial blindness
Mistari kuhusu Judicial blindness
Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine:
“Amewafanya vipofu, na kuifanya mioyo yao kuwa migumu, ili wasiweze kuona kwa macho yao, wala kuelewa kwa mioyo yao, wasije wakageuka nami nikawaponya.”