Mistari ya Biblia kuhusu Unbelief: Malign the gospel
Mistari kuhusu Malign the gospel
Lakini baadhi yao walikaidi. Walikataa kuamini, na wakakashifu ujumbe wake mbele ya umati wa watu. Basi Paulo aliachana nao. Akawachukua wanafunzi naye, akahojiana nao kila siku katika darasa la Tirano.