Mistari ya Biblia kuhusu Unbelief: Shall not enter rest
Mistari kuhusu Shall not enter rest
Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha hiyo, ili kwamba asiwepo yeyote atakayeanguka kwa kufuata mfano wao wa kutokutii.