Mistari ya Biblia kuhusu Unbelief: Miracles designed to convince those in
Mistari kuhusu Miracles designed to convince those in
Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, basi msiniamini,
lakini ikiwa nazifanya kazi za Mungu, hata kama hamniamini mimi ziaminini hizo kazi, ili mpate kujua na kuelewa kwamba Baba yu ndani yangu, nami ndani yake.”
Basi kunena kwa lugha ni ishara, si kwa watu waaminio, bali kwa wasioamini, wakati unabii si kwa ajili ya wasioamini, bali kwa ajili ya waaminio.