Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sea: (Roaring,) of hostile armies

2 mistari · 55 vipengele

Mistari kuhusu (Roaring,) of hostile armies

  1. Katika siku ile watanguruma juu yake kama ngurumo za bahari. Kama mtu akiitazama nchi, ataona giza na dhiki; hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.

  2. Wamejifunga pinde na mkuki, ni wakatili na hawana huruma. Wanatoa sauti kama bahari inayonguruma wanapoendesha farasi zao. Wanakuja kama watu waliojipanga tayari kwa vita ili kukushambulia, ee Binti Sayuni.”