Mistari ya Biblia kuhusu The Sea: Raised upon high
Mistari kuhusu Raised upon high
Bahari zimeinua, Ee Bwana, bahari zimeinua sauti zake; bahari zimeinua sauti za mawimbi yake.
Kwa maana alisema na kuamsha tufani iliyoinua mawimbi juu.