Mistari ya Biblia kuhusu The Sea: Caused to foam by Leviathan
Mistari kuhusu Caused to foam by Leviathan
Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo, na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu.
Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi.