Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Sickness: Heals

4 mistari · 47 vipengele

Mistari kuhusu Heals

  1. “Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! Hakuna mungu mwingine ila Mimi. Mimi ninaua na Mimi ninafufua, Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu.

  2. akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote,

  3. “Nenda ukamwambie Hezekia, ‘Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako. Nitakuongezea miaka kumi na mitano katika maisha yako.

  4. Maandiko ya Hezekia mfalme wa Yuda baada ya kuugua kwake na kupona: