Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sickness: Praise God for recovery from

5 mistari · 47 vipengele

Mistari kuhusu Praise God for recovery from

  1. Zaburi ya Daudi. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Vyote vilivyomo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.

  2. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, wala usisahau wema wake wote,

  3. akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote,

  4. Walio hai, walio hai: hao wanakusifu, kama ninavyofanya leo. Baba huwaambia watoto wao habari za uaminifu wako.

  5. Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu.