Mistari ya Biblia kuhusu Sickness: Not visiting those in, an evidence of not belonging to Christ
Mistari kuhusu Not visiting those in, an evidence of not belonging to Christ
nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha, nilikuwa uchi hamkunivika, nilikuwa mgonjwa hamkunitunza, na nilikuwa gerezani nanyi hamkuja kunitembelea.’
“Naye atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi ambavyo hamkumtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, hamkunitendea mimi.’