Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prophecies Respecting Christ

253 mistari · 66 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. tena, “Jiwe lenye kuwafanya watu wajikwae, na mwamba wa kuwaangusha.” Wanajikwaa kwa sababu hawakulitii lile neno, kama walivyowekewa tangu zamani.

  2. “Yeye hakutenda dhambi, wala hila haikuonekana kinywani mwake.”

  3. Kisha nikaona mbingu imefunguka na hapo mbele yangu akiwepo farasi mweupe, ambaye yeye aliyempanda aliitwa Mwaminifu na Kweli. Yeye huhukumu kwa haki na kufanya vita.