Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prophecies Respecting Christ: His entering on his public ministry

2 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu His entering on his public ministry

  1. Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu, kwa sababu Bwana amenitia mafuta kuwahubiria maskini habari njema. Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao;

  2. kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi ya Mungu wetu, kuwafariji wote waombolezao,