Mistari ya Biblia kuhusu Prophecies Respecting Christ: His being mocked
Mistari kuhusu His being mocked
Wote wanionao hunidhihaki, hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:
Husema, “Anamtegemea Bwana, basi Bwana na amwokoe. Amkomboe basi, kwa maana anapendezwa naye.”