Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prophecies Respecting Christ: His being betrayed by a friend

4 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu His being betrayed by a friend

  1. Hata rafiki yangu wa karibu niliyemwamini, yule aliyekula chakula changu ameniinulia kisigino chake.

  2. Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione.

  3. Kumbe ni wewe, mwenzangu, mshiriki na rafiki yangu wa karibu,

  4. ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri, tulipokuwa tukienda na umati hekaluni mwa Mungu.