Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prophecies Respecting Christ: The conversion of the Gentiles to him

2 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu The conversion of the Gentiles to him

  1. Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

  2. “Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; nitaweka Roho yangu juu yake, naye ataleta haki kwa mataifa.