Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prophecies Respecting Christ: His being preceded by John the Baptist

2 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu His being preceded by John the Baptist

  1. Sauti ya mtu aliaye: “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, nyoosheni njia kuu nyikani kwa ajili ya Mungu wetu.

  2. “Angalieni, nitamtuma mjumbe wangu, atakayeiandaa njia mbele yangu. Ndipo ghafula Bwana mnayemtafuta atakuja hekaluni mwake. Mjumbe wa Agano, ambaye mnamwonea shauku, atakuja,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.