Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Birds: (Snaring,) of designs of the wicked

8 mistari · 107 vipengele

Mistari kuhusu (Snaring,) of designs of the wicked

  1. Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, usikubaliane nao.

  2. Kama wakisema, “Twende tufuatane; tukamvizie mtu na kumwaga damu, njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia;

  3. tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.

  4. Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara.

  5. Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana.”

  6. Mwanangu, usiandamane nao. Usiweke mguu wako katika njia zao,

  7. kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, ni wepesi kumwaga damu.

  8. Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu wakati ndege wote wanakuona!