Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Birds: Appointed for food

12 mistari · 107 vipengele

Mistari kuhusu Appointed for food

  1. Wanyama wote wa duniani, ndege wote wa angani, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi, na samaki wote wa baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu.

  2. Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu.

  3. Mnaweza kula ndege yeyote aliye safi.

  4. Lakini wafuatao msiwale: tai, furukombe, kipungu,

  5. kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote,

  6. kunguru wa aina yoyote,

  7. mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga wa aina yoyote,

  8. bundi, mumbi, bundi mkubwa,

  9. mwari, nderi, mnandi,

  10. korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo.

  11. Wadudu wote warukao kwa makundi ni najisi kwenu, msiwale.

  12. Lakini viumbe vyote vyenye mabawa vilivyo safi mwaweza kula.