Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Birds: Mosaic law protected the mother from being taken with the young

2 mistari · 107 vipengele

Mistari kuhusu Mosaic law protected the mother from being taken with the young

  1. Kama ukikuta kiota cha ndege kando ya barabara, iwe juu ya mti au chini, naye ndege amelala juu ya makinda au mayai, usimchukue huyo ndege pamoja na makinda yake.

  2. Waweza kuchukua makinda, lakini uwe na hakika ya kumwacha huyo ndege, ili upate kufanikiwa na uweze kuishi maisha marefu.