Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu All Christians Should Be As Missionaries: With a superabundant liberality

4 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu With a superabundant liberality

  1. wakaja na kumwambia Mose, “Watu wanaleta vitu vingi kuliko tunavyohitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo Bwana ameagiza ifanyike.”

  2. Ndipo Mose akatoa agizo, nao wakapeleka neno hili katika kambi yote: “Mtu yeyote mwanaume au mwanamke asilete tena kitu chochote kwa ajili ya sadaka ya mahali patakatifu.” Hivyo watu wakazuiliwa kuleta zaidi,

  3. kwa sababu walivyokuwa navyo tayari vilitosha na kuzidi kuifanya kazi yote.

  4. Kwa maana nashuhudia kwamba wao walitoa kwa kadiri wawezavyo, hata na zaidi ya uwezo wao, kwa hiari yao wenyewe,