Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu All Christians Should Be As Missionaries: Disciples

2 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu Disciples

  1. Alipokaribia mahali yanapoanzia materemko ya Mlima wa Mizeituni, umati wote wa wafuasi wake wakaanza kumsifu Mungu kwa furaha kwa sauti kuu kwa ajili ya matendo yote ya miujiza waliyoyaona. Wakasema:

  2. “Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!” “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”