Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu All Christians Should Be As Missionaries: In declaring what God has done for them

5 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu In declaring what God has done for them

  1. Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, nami niwaambie aliyonitendea.

  2. Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, mimi ni mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako; umeniweka huru toka katika minyororo yangu.

  3. Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kuliita jina la Bwana.

  4. Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote,

  5. katika nyua za nyumba ya Bwana, katikati yako, ee Yerusalemu. Msifuni Bwana.