Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu All Christians Should Be As Missionaries: In holy conservation

5 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu In holy conservation

  1. Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, nao ulimi wake huzungumza lililo haki.

  2. Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, bali ulimi wa upotovu utakatwa.

  3. Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa, bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu.

  4. Maneno mabaya yasitoke vinywani mwenu, bali yale yafaayo kwa ajili ya kuwajenga wengine kulingana na mahitaji yao, ili yawafae wale wasikiao.

  5. Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu.