Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu All Christians Should Be As Missionaries: In inviting others to embrace the gospel

4 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu In inviting others to embrace the gospel

  1. Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia.

  2. Mataifa mengi yatakuja na kusema, “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. Atatufundisha njia zake, ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” Sheria itatoka Sayuni, neno la Bwana litatoka Yerusalemu.

  3. Nathanaeli akauliza, “Nazareti! Je, kitu chochote chema chaweza kutoka Nazareti?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”

  4. “Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?”