Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu All Christians Should Be As Missionaries: In talking of God and his works

5 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu In talking of God and his works

  1. Ulimi wangu utasimulia matendo yako ya haki mchana kutwa, kwa maana wale waliotaka kunidhuru, wameaibishwa na kufadhaishwa.

  2. Nitazitafakari kazi zako zote na kuyawaza matendo yako makuu.

  3. Nijulishe mafundisho ya mausia yako, nami nitatafakari maajabu yako.

  4. Watasimulia utukufu wa ufalme wako na kusema juu ya ukuu wako,

  5. ili watu wote wajue matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.