Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu All Christians Should Be As Missionaries: In teaching and exhorting

5 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu In teaching and exhorting

  1. Njooni, watoto wangu, mnisikilize, nitawafundisha kumcha Bwana.

  2. Ndipo nitakapowafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watakugeukia wewe.

  3. Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.

  4. Lakini mtiane moyo mtu na mwenzake kila siku, maadamu iitwapo Leo, ili asiwepo hata mmoja wenu mwenye kufanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.

  5. Wala tusiache kukutana pamoja, kama wengine walivyo na desturi, bali tuhimizane sisi kwa sisi kadiri tuonavyo Siku ile inakaribia.