Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu All Christians Should Be As Missionaries: In encouraging the weak

5 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu In encouraging the weak

  1. Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea,

  2. waambieni wale wenye mioyo ya hofu, “Kuweni hodari, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja, pamoja na malipo ya Mungu, atakuja na kuwaokoa ninyi.”

  3. Mkaribisheni yeye ambaye imani yake ni dhaifu, lakini si kwa kugombana na kubishana juu ya mawazo yake.

  4. Sisi tulio na nguvu, hatuna budi kuchukuliana na kushindwa kwa wale walio dhaifu wala si kujipendeza nafsi zetu wenyewe.

  5. Nasi twawasihi, ndugu, waonyeni walio wavivu, watieni moyo waoga, wasaidieni wanyonge na kuwavumilia watu wote.