Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Abraham: Age of, at different periods

4 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Age of, at different periods

  1. Hivyo Abramu akaondoka kama Bwana alivyokuwa amemwambia; naye Loti akaondoka pamoja naye. Wakati Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na miaka sabini na mitano.

  2. Abramu alikuwa na umri wa miaka themanini na sita wakati Hagari alipomzalia Ishmaeli.

  3. Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa.

  4. Kwa jumla, Abrahamu aliishi miaka 175.