Mistari ya Biblia kuhusu Abraham: Dwells in Beth-El
Mistari kuhusu Dwells in Beth-El
Kutoka huko Abramu akasafiri kuelekea kwenye vilima mashariki ya Betheli, naye akapiga hema huko, Betheli ikiwa upande wa magharibi na Ai upande wa mashariki. Huko alimjengea Bwana madhabahu na akaliitia jina la Bwana.