- English
- King James KJV
- Complete Jewish CJB
- World English WEBM
- Berean Standard BSB
- American Standard ASV
- Geneva GNV
- Young's Literal YLT
- Douay-Rheims DRC
- International
- Shqip ALB
- العربية SVD
- বাংলা BN-IRV
- မြန်မာ Judson
- 简体文 CUV-S
- 繁體中文 CUV-T
- Čeština BKR
- Nederlands STVE
- Français LSG
- Deutsch SCH
- Ελληνικά Vamvas
- ગુજરાતી GU-IRV
- Hausa HCB
- עברית Hebrew
- हिन्दी HCV
- Magyar KAROLI
- Bahasa Indonesia INDO-TB
- Italiano Diodati
- 日本語 Kougo
- 한국어 Korean
- മലയാളം MAL
- मराठी MRCV
- Norsk DNB
- فارسی OPV
- Polski BG
- Português Almeida
- Română Cornilescu
- Русский Synodal
- Español RVG
- Kiswahili Neno
- Svenska SV1917
- Tagalog TAG-ADB
- தமிழ் TCV
- తెలుగు TSA
- ภาษาไทย THAI-KJV
- Українська Ohienko
- Tiếng Việt CADMAN
- Yorùbá YCB
circa 1446–1406 BC
The Wilderness Years
Forty years of wandering in the desert test Israel's faith and prepare a new generation to enter the promised land.
Mistari ya kipindi hiki
- Hesabu 1:26takriban 1490 KK
Kutoka wazao wa Yuda: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:27takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600.
- Hesabu 1:28takriban 1490 KK
Kutoka wazao wa Isakari: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:29takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400.
- Hesabu 1:30takriban 1490 KK
Kutoka wazao wa Zabuloni: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:31takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400.
- Hesabu 1:32takriban 1490 KK
Kutoka wana wa Yosefu: Kutoka wazao wa Efraimu: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:33takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500.
- Hesabu 1:34takriban 1490 KK
Kutoka wazao wa Manase: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:35takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200.
- Hesabu 1:36takriban 1490 KK
Kutoka wazao wa Benyamini: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:37takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400.
- Hesabu 1:38takriban 1490 KK
Kutoka wazao wa Dani: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:39takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700.
- Hesabu 1:40takriban 1490 KK
Kutoka wazao wa Asheri: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:41takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500.
- Hesabu 1:42takriban 1490 KK
Kutoka wazao wa Naftali: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
- Hesabu 1:43takriban 1490 KK
Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400.
- Hesabu 1:44takriban 1490 KK
Hawa walikuwa wanaume waliohesabiwa na Mose, Aroni na viongozi kumi na wawili wa Israeli, kila mmoja akiwakilisha jamaa yake.
- Hesabu 1:45takriban 1490 KK
Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao.
- Hesabu 1:46takriban 1490 KK
Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550.
- Hesabu 1:47takriban 1490 KK
Hata hivyo, jamaa ya kabila la Lawi hawakuhesabiwa pamoja na wengine.
- Hesabu 1:48takriban 1490 KK
Bwana alikuwa amemwambia Mose:
- Hesabu 1:49takriban 1490 KK
“Kamwe usihesabu kabila la Lawi wala kuwaweka pamoja katika hesabu ya Waisraeli wengine.
- Hesabu 1:50takriban 1490 KK
Badala yake, waweke Walawi kuwa viongozi wa Maskani ya Ushuhuda, juu ya samani zake na kila kitu kilichomo ndani yake. Wao watabeba Maskani na samani zake zote; wataitunza na kupiga kambi kuizunguka.