Skip to content

Issachar

38 mistari · 18 wanafamilia

Mistari inayomtaja Issachar

Chuja kwa kitabu
  1. Ndipo Lea akasema, “Mungu amenizawadia kwa kumpa mume wangu mtumishi wangu wa kike.” Kwa hiyo akamwita Isakari.

  2. Wana wa Lea walikuwa: Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni.

  3. Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni.

  4. “Isakari ni punda mwenye nguvu ambaye amelala kati ya mizigo yake.

  5. Isakari, Zabuloni na Benyamini;

  6. kutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari;

  7. Kutoka wazao wa Isakari: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.

  8. Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400.

  9. Kabila la Isakari watapiga kambi karibu na Yuda. Kiongozi wa watu wa Isakari ni Nethaneli mwana wa Suari.

  10. Siku ya pili yake Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari, alileta sadaka yake.

  11. Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari,

  12. kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu;

  13. Wazao wa Isakari kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Tola, ukoo wa Watola; kutoka kwa Puva, ukoo wa Wapuva;

  14. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Isakari; wale waliohesabiwa walikuwa 64,300.

  15. Paltieli mwana wa Azani, kiongozi kutoka kabila la Isakari;

  16. Mtakapovuka Mto Yordani, makabila haya yatasimama juu ya Mlima Gerizimu kubariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benyamini.

  17. Kuhusu Zabuloni akasema: “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, nawe Isakari, katika mahema yako.

  18. Kura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo.

  19. Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo.

  20. Wazao wa Gershoni walipewa miji kumi na mitatu kutoka koo za makabila ya Isakari, Asheri, Naftali na nusu ya Manase huko Bashani.

  21. kutoka kabila la Isakari walipewa, Kishioni, Daberathi,

  22. Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora; naam, Isakari alikuwa pamoja na Baraka, wakija nyuma yake kwa mbio wakielekea bondeni. Katika jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni.

  23. Baada ya Abimeleki, Tola mwana wa Pua mwana wa Dodo, mtu wa Isakari, aliyeishi huko Shamiri, katika nchi ya vilima ya Efraimu, akainuka kuokoa Israeli.

  24. Yehoshafati mwana wa Parua: katika Isakari;

  25. Baasha mwana wa Ahiya wa nyumba ya Isakari akafanya shauri baya dhidi yake, naye akamuua huko Gibethoni, mji wa Wafilisti, wakati Nadabu na Israeli yote walipokuwa wameuzingira.