Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Water: The world and its inhabitants once destroyed by

5 mistari · 84 vipengele

Mistari kuhusu The world and its inhabitants once destroyed by

  1. Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano.

  2. Kila kiumbe hai kitambaacho juu ya nchi kikaangamia: Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi na wanadamu wote.

  3. Kila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa.

  4. Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali, watu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Noa peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina.

  5. Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa.