Mistari ya Biblia kuhusu Water: Congealed by cold
Mistari kuhusu Congealed by cold
Barafu inatoka tumbo la nani? Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni,
Anatandaza theluji kama sufu na kutawanya umande kama majivu.
Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake?