Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Water: Red Sea divided

2 mistari · 84 vipengele

Mistari kuhusu Red Sea divided

  1. Ndipo Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, naye Bwana akayasukuma maji ya bahari nyuma kwa upepo mkali wa mashariki usiku ule wote na kupafanya nchi kavu. Maji yakagawanyika,

  2. nao Waisraeli wakapita baharini mahali pakavu, maji yakiwa ukuta upande wao wa kuume na upande wao wa kushoto.