Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Water: Frequently brackish and unfit for use

2 mistari · 84 vipengele

Mistari kuhusu Frequently brackish and unfit for use

  1. Walipofika Mara, hawakuweza kunywa maji yake kwa sababu yalikuwa machungu. (Ndiyo sababu mahali hapo panaitwa Mara)

  2. Watu wa mji wakamwambia Elisha, “Tazama, bwana wetu, mahali mji huu ulipojengwa ni pazuri, kama bwana wangu aonavyo, lakini maji yake ni mabaya, na nchi haizai.”