Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Trees: Locusts

3 mistari · 87 vipengele

Mistari kuhusu Locusts

  1. Nao watafunika uso wa ardhi hata usionekane. Watatafuna mabaki machache yaliyobakizwa baada ya ile mvua ya mawe, yaani pamoja na kila mti unaoota katika mashamba yenu.

  2. Wakafunika ardhi yote mpaka ardhi ikawa nyeusi. Wakatafuna kile chote kilichokuwa kimebakizwa na ile mvua ya mawe, kila kitu kiotacho mashambani pamoja na matunda kwenye miti. Hakuna kitu chochote cha kijani kilichosalia katika miti au mmea katika nchi yote ya Misri.

  3. Makundi ya nzige yatavamia miti yako yote na mazao ya nchi yako.