Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Trees: Specially flourished beside the rivers and streams of water

1 mstari · 87 vipengele

Mistari kuhusu Specially flourished beside the rivers and streams of water

  1. Miti ya matunda ya kila aina itaota kwenye kingo zote mbili za mto huu. Majani yake hayatanyauka wala haitaacha kuwa na matunda katika matawi yake. Kila mwezi kutakuwa na matunda, kwa sababu maji yatokayo patakatifu yanaitiririkia. Matunda yake yatakuwa chakula na majani yake yatakuwa dawa.”