Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Trees: Fir

3 mistari · 87 vipengele

Mistari kuhusu Fir

  1. Kwa njia hii Hiramu akampa Solomoni miti yote ya mierezi na magogo ya misunobari kama alivyohitaji,

  2. Kupitia kwa wajumbe wako umelundika matukano juu ya Bwana. Nawe umesema, “Kwa magari yangu mengi ya vita, nimepanda juu ya vilele vya milima, vilele vya juu sana katika Lebanoni. Nami nimeiangusha mierezi yake mirefu, misunobari yake iliyo bora sana. Nimefikia sehemu zake zilizo mbali sana, misitu yake iliyo mizuri sana.

  3. Humo ndege hufanya viota vyao, korongo ana nyumba yake kwenye msunobari.