Mistari ya Biblia kuhusu Trees: The tender shoots
Mistari kuhusu The tender shoots
Akawaambia mfano huu: “Uangalieni mtini na miti mingine yote.
Inapochipua majani, ninyi wenyewe mnaweza kuona na kutambua wenyewe ya kuwa wakati wa kiangazi umekaribia.