Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Second Coming of Christ: Should be always considered as at hand

3 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu Should be always considered as at hand

  1. Usiku umeendelea sana, mapambazuko yamekaribia. Kwa hiyo tuyaweke kando matendo ya giza na tuvae silaha za nuru.

  2. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.

  3. Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.